top of page
  • Writer's pictureIrungu Houghton

Presentation to the Mwamdudu school community, August 8th


WhatsApp Image 2016-08-08 at 12.05.33 PM

Hii mapambano ilianza na wanafunzi wa Langata road primary school. Mimi na wengine hapa tulikua huko.

Viongozi wa Serikali  kutoka pande zote za Jubilee na Cord wakasema kila shule itapata cheo.

Hadi sasa waKenya kule Lavington, Maralal, St Bridgets, Naka wamejitahidi kulinda shule zao

Tunajua, wakati nzige wanakuja kukula mahindi, hakuli mahindi wa jirani pekee, watamaliza zako na zangu.

Asanteni wa ujasiri ku rejesha Mwamdudu.

Asanteni kwa ku simama na shule zote nchini.

Asanteni kwa sababu mme jibu vita kwa kuzingatia ungwana, haki na sheria.

Kesho tutaongea na Governor wa Kwale

Kesho kutwa tutaongea na walimu wa Kepsha nita wahamasisha kuhusu Mwamdudu

Leo nyinyi mmapatie walimu, wanafunzi na wazazi nguvu kusema “Shule hii, haitauzwa leo au kesho!!!”

Asanteni

Mwamdudu, Kwale County, Kenya

For more see:

Comments


bottom of page